Rais Dk Shein akutana na Balozi wa Comoro nchini

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza  la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na mgeni wake Balozi wa Visiwa vya Comoro katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Mohammed Fakih Al Baadawy alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na Ikulu.] 06/Machi/2018. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza  la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na  mgeni wake Balozi wa Visiwa vya Comoro katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Mohammed Fakih Al Baadawy alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na Ikulu.] 06/Machi/2018. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza  la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Tuesday, 6 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News