Rais Dk Shein, Ahutubia Katika Kilele Cha Maadhimisho ya Serehe za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar Katika Uwanja wa Amaan Znzibar leo.12-1-2018.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia Wananchi wa Mikoa Mitano ya Zanzibar wakati wa hafla ya Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar. na Kuhudhuriwa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Marais Wastaaf wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete, Mzee Ali Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa, Rais Mstaaf wa Zanzibar Dkt. Amani...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News