Rais Dk Shein afanya uteuzi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi na kuwabadilisha nafasi baadhi ya viongozi katika Taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kama ifuatavyo:-1. UTEUZI WA NAIBU KATIBU MKUUBibi Mwanajuma Majid Abdulla ameteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu katika Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Wanawake, Vijana na Watoto anayeshughulikia masuala ya Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto. 2. UTEUZI WA WAKUU WA MIKOA i. Bwana Hemed Suleiman Abdulla ameteuliwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini- Pemba. ii. Bwana Hassan Khatib Hassan ameteuliwa Mkuu wa Mkoa wa...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Tuesday, 5 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News