Rahco yabisha hodi Kilimanjaro, kubomoa zaidi ya nyumba 100

 Siku chache baada ya bomoabomoa inayoendeshwa na Kampuni Hodhi ya Mali za Reli (Rahco) kutikisa mikoa ya Dar es Salaam, Morogoro, Dodoma na Tanga, sasa ni zamu ya Kilimanjaro ambako zaidi ya nyumba 100 zimewekwa alama ya X ikiwa ni hatua ya awali ya kubomolewa....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Wednesday, 13 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News