PROFESA KABUDI ABANWA BUNGENI

Na RAMADHAN HASSAN-DODOMA WAZIRI wa Katiba na Sheria, Profesa Paramagamba Kabudi amejikuta katika mgumu baada ya baadhi ya wabunge kudai amenukuu vibaya moja ya aya za Quran. Prof. Kabudi aliombewa mwongozo na wabunge wakimshutumu kwa kauli yake wakati akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Konde Khatibu Said Haji (CUF). Mbunge huyo alitaka kujua ni nani mwenye Mamlaka kikatiba ya kugawa mipaka kati ya Rais wa Tanzania  na yule wa Zanzibar. Akijibu swali hilo, Prof. Kabudi alisema Rais wa Tanzania ndiye mwenye Mamlaka kikatiba katika masuala yanayohusu muungano. Mara baada ya...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 7 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News