Polisi yachunguza kutekwa kwa mwanafunzi UDSM

JESHI la Polisi Mkoa wa Iringa limeanza kufanya uchunguzi wa tukio la kutekwa kwa Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), Abdul Nondo ambaye pia ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu wa Kitivo cha Siasa na Utawala cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)....

read more...

Share |

Published By: Habari Leo Kitaifa - Thursday, 8 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News