Polisi waongea ilivyokua mpaka wakamuachia Dr. Luis Shika leo

Tumemsoma sana kwenye vichwa vya habari kuanzia wiki iliyopita baada ya kwenda kwenye mnada wa nyumba za mabilioni na kushinda nafasi ya kununua nyumba 2 za zaidi ya Bilioni 2 lakini baadae akakamatwa na Polisi kwa kutokua na pesa mfukoni. Jioni ya leo  November 14 2017 Polisi Dar es salaam imemuachia kwa dhamana Dr. Shika […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - 6 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News