Polisi wa Israel Yawajeruhi Wapalestina Zaidi Ya 30 Ukanda wa Gaza

Vurugu zimeendelea huko ukanda wa gaza na ukingo wa magharibi ambapo zaidi ya wapalestina thelathini wamejeruhiwa katika makabiliano na polisi wa Israel Hii ni kufuatia Rais Donald Trump kutangaza kuutambua mji wa Yerusalemu kuwa mji mkuu wa Israel. Wakati huo huo Marekani imeionya Palestina dhidi ya maamuzi yake kutotaka kukutana na makamu wa rais marekani ,Mike Pence katika kikao ambacho kilipangwa kufanyika mapema mwezi huu. Waandamanaji wamechoma matairi na kurusha mawe huku maafisa usalama wa Israel wakifyatulia wandamaanaji hao hewa ya kutoa machozi na risasi za mpira. Huko Gaza...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - Thursday, 7 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News