Polisi Tanzania waanzisha msako mkali kuwatafuta waliomuua Wayne Lotter

Jeshi la Polisi nchini Tanzania linaendelea na msako mkali kuwatafuta watu waliompiga risasi na kumuua Mkurugenzi na Mwanzilishi-Mwenza wa Shirika lisilo la kiserikali la PAMS Foundation, Wayne Lotter jijini Dar es Salaam juzi....

read more...

Share |

Published By: VOA News Swahili - Saturday, 19 August

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News