POLISI: MWANAFUNZI CHUO KIKUU HAKUTEKWA, ALIKWENDA KWA MPENZI WAKE

Na Jones Njozi, Dar es Salaam Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limesema mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), na Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi (TSNP), Abdul Nondo hakutekwa ila alikwenda kwa mpenzi wake mkoani Iringa. Aidha, Jeshi hilo limesema linakamilisha taratibu za kisheria kumsikisha mwanafunzi huyo mahakamani kwa kudanganya na kuzua taharuki katika jamii. Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema leo Jumanne Machi 13, upelelezi imebaini kuwa mwanafunzi huo alikwenda Iringa kwa mpenzi wake ambaye alikuwa akifanya naye...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Tuesday, 13 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News