Polisi: Mwanafunzi ‘aliyetekwa Dar’ alikuwa kwa mpenziwe Iringa

Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa ameeleza kuwa uchunguzi wa awali umebainisha kuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Abdul Nondo alikwenda Iringa kwa mpenzi wake, hivyo hakutekwa....

read more...

Share |

Published By: Habari Leo Kitaifa - Tuesday, 13 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News