Polisi Dodoma kuhusu jamaa aliyetengeneza tukio la kuvamiwa(+Video)

November 4, 2017 Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma Gilles Muroto alikutana na Waandishi wa habari ofisini kwake kwa ajili ya kutoa taarifa ya matukio mbalimbali ya mkoa ambapo kati ya matukio hayo ni pamoja na namna Polisi walivyomkamata mtuhumiwa aliyejitengeneza tukio la kuvamiwa na kuporwa fedha za mwajiri wake. Full video nimekuwekea hapa chini […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Monday, 4 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News