Polisi Airport wamenasa bunduki na baadae kugundua ni pombe

Hali ya taharuki imetokea  katika wa Uwanja wa Ndege wa Kimatifa wa Jomo Kenyatta nchini Kenya Desember 29, 2018 wakati polisi walipokamata chupa ya pombe kali aina ya Vodka kutoka Urusi, chupa yenye umbo la bunduki aina ya AK-47. Polisi katika uwanja huo walikamata chupa hiyo ya pombe kali kwa jina ‘Kalashnikov vodka’ katika eneo […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Tuesday, 2 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News