PLUIJM HATAKI MCHEZO

NA MWAMVITA MTANDA KOCHA Mkuu wa Azam FC, Hans van der Pluijm, amesema hataki mchezo wala hana muda wa kupoteza katika kikosi chake, zaidi ya kujituma kuhakikisha kinakuwa fiti zaidi, jambo ambalo litawasaidia kufanya vizuri katika msimu mpya. Kikosi cha Azam bado kipo nchini Uganda, ambako wamekwenda kuweka kambi kwa ajili ya maandalizi ya Ligi Kuu Tanzania Bara na michuano mingine na tayari wameshacheza mechi kadhaa za kirafiki. Akizungumza na BINGWA jana kwa njia ya simu, Plujim alisema anaendeleza dozi kwa kuhakikisha kuwa timu yake inakuwa sawa. “Sina muda wa...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News