Pingu Yaibua `Zengwe’ kwa Mtuhumiwa wa Mauaji Moshi

Na Charles Ndagulla,Moshi Hatua ya kutofungwa pingu kwa mmoja wa Wakurugenzi wa Shule ya Sekondari ya Scolastica, Edward Shayo (63), anayetuhumiwa kwa mauaji ya aliyekuwa mwanafunzi wa shule hiyo, Humphrey Makundi imezua utata na kuhojiwa na baadhi ya mahabusu wa gereza la Karanga mjini Moshi. Shayo alikuwa miongoni mwa watuhumiwa 11 waliokamatwa kufuatia mauaji ya mwanafunzi huyo aliyetoweka shuleni hapo Novemba 6, na mwili wake kuokotwa Novemba 10, mwaka jana ukielea kwenye mto Wona uliopo takribani mita 300 kutoka shuleni hapo. Hata hivyo, watuhumiwa nane katika shauri la mauaji...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - Monday, 12 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News