Picha Lowassa alivyofika kwenye msiba wa Tambwe Hizza

Leo February 8, 2018 Waziri mkuu Mstaafu na mjumbe wa kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Edward Lowassa jioni hii ameungana na baadhi ya viongozi wa chama hichonyumbani kwa aliyekuwa Mwanachama wa chama hicho na Mwanasiasa mashuhuri Marehemu Richard Hizza Tambwe eneo la Mbagala kuwapa pole wafiwa kutokana na msiba wa mwanasiasa […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Thursday, 8 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News