PICHA 9: Kutoka kwenye harusi ya staa wa Manchester United na England

Moja ya matukio makubwa yaliyojiri mwishoni mwa wiki ni pamoja na hili la mlinzi wa Klabu ya Manchester United Phil Jones kufunga ndoa mchumba wake Kaya Hall ikiwa ni baada ya kumaliza msimu wenye mafanikio kwa kutwaa EFL Cup na Europa League. Mlinzi huyo wa England alifunga ndoa ambayo haikuwa na mbwembwe nyingi iliyofanyika Nether Alderley, […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Monday, 19 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News