PICHA 8: Muonekano wa ndani na nje wa jengo refu zaidi Duniani

Leo February 12, 2018 nimekusogezea Picha za Jengo refu zaidi Duniani ambalo linapatikana nchini Dubai  na limezinduliwa February 11, 2018. Kuzinduliwa kwa jengo la Gevora Hotel lenye ghorofa 75 urefu wa mita 356 na ina vyumba 528, Club 5, migahawa 30 na swimming pool kubwa kunalifanya kuwa ndio jengo refu zaidi Duniani. Hii ni picha inayoonesha […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Monday, 12 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News