PICHA 7: Goli la kwanza la Coutinho laipeleka Barca fainali

Staa mpya wa Klabu ya Barcelona aliyetoka Liverpool Philippe Coutinho ameisaidia Klabu yake mpya ya Barcelona kutinga fainali ya Kombe la Mfalme  (Copa del Rey) kwa kuifunga klabu ya Valencia goli 2-0 usiku wa kuamkia leo February 9, 2018. Magoli ya Barcelona yamefungwa na Ivan Rakitic na mshambuliaji mpya Philippe Coutinho ikiwa ni goli lake […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Thursday, 8 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News