PICHA 3: Baraka Da Prince alivyomtembelea Tundu Lissu hospitali

Mwishoni wa mwaka 2017 Mbunge wa Singida Mashariki kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lissu aliripotiwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana akiwa nyumbani kwake Dodoma. Lissu baada ya shambulio hilo alipatiwa matibabu ya awali na baadae kupelekwa Nairobi kwa matibabu zaidi na kuondolewa kwa risasi mwilini mwake, Lissu akiwa Nairobi Kenya […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Monday, 1 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News