Peter Kibatala awasili Mbeya kumtetea Sugu

Leo February 8, 2018 Wakili maarufu nchini Peter Kibatala amewasili katika jiji la Mbeya ili kuwawakilisha Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na Katibu wa Chadema Kanda ya Nyanda za juu Kusini, Emmanuel Masonga.  Sugu na Masonga wanakabiliwa na kesi ya kutumia lugha ya fedheha dhidi ya Rais John Magufuli ambayo wanadaiwa kuitoa December […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Thursday, 8 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News