Pence awaepuka maafisa wa Korea Kaskazini katika Olympic

Makamu wa Rais Mike Pence, kiongozi wa Korea Kusini na mwakilishi wa Korea Kaskazini walijikuta wako pamoja katika jukwaa la wageni rasmi Ijumaa wakati wa ufunguzi wa Michezo ya Olympic 2018 nchini Korea Kusini....

read more...

Share |

Published By: VOA News Swahili - Friday, 9 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News