PBZ Yaadhimisha Siku ya Wanawake Duniani Kwa Kukadidhi Vitanda Vya Kuzalia Hospitali ya Muembeladu Zanzibar.

MKURUGENZI Masoko na Huduma kwa Wateja Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Said Ali Mwinyigogo, (kushoto) akimkabidhi msaada wa Vitanda vine kwa ajili ya Hospitali ya Wazazi Muembeladu Unguja, chumba cha kujifungulia wajawaziti, ikiwa ni shamra shamra za kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, akipokea msaada huo. Kaimu Mkurugenzi wa Mtendaji wa Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar Dr. Msafiri Marijani , hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya hospitali hiyoMKURUGENZI Masoko na Huduma kwa Wateja Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Said Ali Mwinyigogo, (kushoto) akimkabidhi msaada wa Vitanda vine kwa ajili...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Tuesday, 13 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News