Pazia la Kielektroniki la Idara habari Maelezo katika Mnara wa kumbukumbu ya Mapinduzi, Michenzani

Baadhi ya Watoto wakitazama katuni katika Pazia la Kielektronik la Idara Habari (MAELEZO) katika Viwanja vya Mnara wa kumbukumbu Michenzani Mjini Unguja. Pazia hili la Kielektronik litakuwa likitoa taarifa mbalimbali za Serikali kwa Wananchi...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Sunday, 14 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News