Patrice Evra akivuta gari kwa mikono na kutoa maneno baada ya kufungiwa na UEFA

Shirikisho la soka Ulaya UEFA Ijumaa ya November 10 2017 lilitangaza kumuadhibu beki wa kimataifa wa Ufaransa anaeichezea Olympique Marseilleya Patrice Evra kwa kosa la kumpiga Shabiki wao wakiwa Ureno kwenye mchezo wa Europa League. UEFA walitangaza kumfungia Evra kucheza mashindano yoyote ya UEFA hadi mwezi June 2018 kwa kosa la kumpiga teke shabiki, adhabu ambayo imepelekea Marseille wavunje mkataba na Evra lakini leo […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - 7 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News