Pasipoti za Kielektoniki zaanza kutolewa Zanzibar

Idara ya Uhamiaji Zanzibar imeanza kutoa pasipoti za kielektroniki kwa wananchi wa Zanzibar wakiwemo viongozi wa serikali kuendeleza zoezi ambalo lilizinduliwa na na Rais wa Jamhuri ya Muunganio wa Tanzania, Mhe John Pomjbe Magufuli wiki iliyopita.Pasipoti 11 zilianza kutolewa zikiwemo 6 za kidiplomasia. Miongoni mwa waliokabidhiwa Pasipoti zao ni Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Mohammed Aboud Mohammed ambae alikabidhiwa Pasipoti yake na Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Masoud Sururu.Katibu Mkuu Kiongozi Dr Abdulhamid Yahya Mzee nae alikabidhiwa pasi yake pamoja na Spika wa Baraza la Wawakilishi...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Wednesday, 7 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News