PAPA FRANCIS: MATESO YA WAROHINGYA YALINILIZA

VATICAN CITY, VATICAN PAPA Francis alifichua kuwa alilia baada ya kusikia masaibu ya wakimbizi wa jamii ya Rohingya nchini Bangladesh. Akizungumza na wanahabari wakati akirudi mjini Roma juzi, Papa Francis pia aliongeza kuwa mkutano wake na jamii hiyo ulikuwa moja ya masharti ya ziara yake nchini Myanmar na Bangladesh na kwamba wakimbizi hao pia walilia. Mkutano wake na Warohingya ulikuwa ishara muhimu ya kuonyesha kuunga mkono jamii hiyo ya Waislamu walio wachache wanaotoroka ghasia Myanmar. “Nilijua nilikuwa nikienda kukutana na Warohingya, lakini sikujua ningekutana nao wapi na vipi, kwangu kuonana...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Tuesday, 5 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News