PAPA FRANCIS AKIRI ALIFANYA MAKOSA CHILE

VATICAN CITY, VATICAN KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis amekiri kufanya makosa makubwa katika maamuzi aliyoyachukua kuhusu sakata la udhalilishaji wa ngono nchini Chile. Kwa sababu hiyo amewaalika waathirika wa vitendo hivyo mjini Rome ili kuwaomba radhi. Katika barua ya umma isiyo ya kawaida, Papa Francis pia amewataka maaskofu wote wa Chile kufika Makao Makuu ya Kanisa, Vatican kwa mkutano wa dharura utakaofanyika wiki chache zijazo. Mkutano huo unatarajia kujadili namna ya kurekebisha maafa yaliyotokana na kashfa hiyo ambayo imeichafua taswira ya Kanisa Katolini nchini Chile na sifa ya...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 6 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News