OFISI YA RAIS-UTUMISHI YATEKELEZA MWONGOZO WA HUDUMA KWA WATUMISHI WA UMMA WENYE ULEMAVU

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akizungumza na Bw. Abbas Mpunga kabla ya kumkabidhi Bajaji ili kumwezesha mtumishi huyo kutekeleza majukumu yake. Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akizungumza na watumishi wa ofisi yake wakati wa tukio la kumkabidhi Bajaji kwa mmoja wa watumishi wa ofisi yake Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akikabidhi nyaraka za umiliki wa Bajaji kwa Bw. Abbas Mpunga. Katibu Mkuu,...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - Wednesday, 7 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News