Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Yatowa Elimu Kwa Masheha Kisiwani Pemba.

Afisa Mdhamini Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Pemba, Ali Salim Ali Matta, akizungumza na masheha wa Wilaya nne za Pemba, juu ya hali halisi ya mwelekeo wa Mvua za masika mwaka huu, kikao kilichofanyika mjini chake chakeMkurugenzi Mtendaji wa kamisheni ya kukabiliana na maafa Zanzibar, Shaban Seif Mohamed, akizungumza na masheha wa Wilaya nne za Pemba, juu ya mikakati ya kukabiliana na maafa katika kipindi hiki cha mvua za masika zilizoanza kunyesha katika maeneo mbali mbali ya PembaAFISA Operesheni na huduma za binaadamu, kutoka kamisheni ya kukabiliana na...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Thursday, 8 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News