Ofisi nyingine za mawakili zavamiwa Dar es salaam (+video)

Siku chache baada ya ofisi za mawakili wa IMMMA kuvamiwa na watu wasiojulikana ambapo ililipuliwa na vitu vinavyodhaniwa kuwa ni mabomu, leo September 12 2017 tukio jingine lililohusisha ofisi ya mawakilili katika jengo la Prime House imevamiwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa kuwa watu takribani tisa walivamia jengo hilo lililopo Mtaa wa Tambaza Dar es salaam na […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Tuesday, 12 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News