OBAMA ATUA NCHINI KIMYA KIMYA

Na MWANDISHI WETU – KILIMANJARO RAIS Mstaafu wa Marekani, Barack Obama, amewasili nchini kimya kimya akiwa na familia yake. Hii ni mara ya pili kwa Obama kuja nchini, ambapo mara ya kwanza ilikuwa Julai 2013, wakati kiongozi huyo akiwa bado madarakani. Ziara yake hiyo ya kikazi ilikuwa ni sehemu ya kukamilisha ratiba yake ya mwisho ya ziara barani Afrika wakati akiwa Rais. Tofauti na ziara yake ya awali ambapo alikuja na ndege ya Air Force One akiwa na msafara unaolindwa na kila aina ya teknolojia, safari hii alikuja na familia...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 11 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News