NYUFA HOSTELI UDSM ZAZUA MJADALA

Na CHRISTINA GAULUHANGA-DAR ES SALAAM NYUFA za majengo ya hosteli za wanafunzi katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), zimezua mjadala kuhusu ubora wa majengo hayo. Taarifa za nyufa hizo zilianza kusambaa juzi jioni katika mitandao ya kijamii, hali iliyowafanya wataalamu wa Wakala wa Majengo (TBA) kuanza kufanya uchunguzi wa nyufa hizo zilizopo katika jingo la Block A. Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Mkurugenzi Mtendaji wa TBA, Msanifu Majengo, Elius Mwakalinga, alisema nyufa hizo ni za kawaida kwa mujibu wa mwongozo wa wabunifu majengo. Alisema...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Monday, 4 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News