Nyalandu kuchunguzwa kwa kuitia serikali hasara

VYOMBO vya dola vimeagizwa kumchunguza Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akidaiwa kuitia hasara Serikali. Vyombo hivyo, Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (TAKUKURU) na Jeshi la Polisi, vimetakiwa kumchunguza kutokana na kushirikiana na Kampuni za Uwindaji na kuwapa vitalu vingi kinyume cha utaratibu....

read more...

Share |

Published By: Habari Leo Kitaifa - 7 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News