NONDO ASHTAKIWA KUDANGANYA KUTEKWA, ANYIMWA DHAMANA

Na Francis Godwin, Iringa Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi (TSNP), Abdul Nondo amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Iringa na kusomewa makosa mawili ya kutoa taarifa za uongo mitandaoni na kudanganya kutekwa. Nondo amefikishwa mahakamani hapo leo Jumatano Machi 21, baada ya kusafirishwa usiku wa kuamkia leo akitokea Dar es Salaam alikokuwa akishikiliwa na polisi na kusomewa mashtaka hayo na Wakili wa Serikali, Abel Mwandalama mbele ya Hakimu Mkazi wa mahakama hiyo, John Mpitanjia. Baada ya kusomewa mashtaka hayo, Wakili wa Nondo Charles Luoga, alimuomba hakimu kumpatia dhamana mteja...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 21 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News