NKURUNZIZA ATANGAZWA KIONGOZI WA MAISHA CHAMA TAWALA

BNUNJUMBURA, BURUNDI CHAMA tawala nchini Burundi (CNDD/FDD), kimemtangaza Rais Pierre Nkurunziza kuwa kiongozi mkuu wa kudumu wa chama hicho. Uamuzi huo umefikiwa baada ya vikao vya siku tatu vya mkutano mkuu wa (CNDD/FDD) uliofanyika Buye, Kaskazini mwa Burundi mahali alikozaliwa Nkurunziza. Hayo yamejili wakati Burundi inajiandaa kufanya marekebisho ya Katiba ili kumruhusu Rais Nkurunziza kuendelelea kuongoza taifa hilo hadi mwaka 2034. Taaarifa fupi ya CNDD/FDD iliyotolewa jana ilieleza kuwa vikao hivyo vilinuia kuimarisha chama tawala na taasisi zake. Sambamba na hilo, chama hicho kimepitisha uamuzi wa kumuongezea hadhi Rais Nkurunziza...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Tuesday, 13 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News