NJIA TANO ZA KUILINDA SIMU YAKO YA ANDROID

Na Jumia Tanzania.Kama unamiliki simu inayotumia mfumo wa Android, basi hautakiwi kijisahau hususani juu ya masuala ya usiri wa matumizi yako na usalama. Hususani kama simu yako ya Android haipati maelekezo ya kusasisha mifumo ya kiusalama mara kwa mara kama watumiaji wa iPhone. Kumiliki simu ya Android inamaanisha kwamba unatakiwa kuwa na umakini wa ziada hususani kwenye progaramu unazozipakua mtandaoni, aina ya mafaili ya APK unayoyaweka kwenye simu yako, kuwa mwangalifu na watengeneza programu wanaozitoa bure. Kwa kuwa watumiaji wa Android hawapati fursa ya kujulishwa kuhusu kusasisha usalama wa simu zao...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Thursday, 8 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News