Nje ya Tanzania na Afrika Kusini hii ni nchi Diamond anafikiria kununua nyumba

Staa wa Bongofleva Diamond Platnumz ni miongoni mwa mastaa ambao wameahidi mwaka 2018 tutarajie vitu vingi kutoka kwao, Diamond akiwa ameanza na kutuonyesha headquarters mpya za WCB . Ukitaja  nyumba anazomiliki Diamond Platnumz kiukwelihuwezi kuacha kutaja nyumba yake ya Afrika Kusini na Tanzania lakini inatajwa kuwa ana nyumba raidi ya moja na kwa sasa anafikiria kununua nyumba nyingine Kigali […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Monday, 15 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News