Ninja wa Yanga Apewa Vifaa na Raza Lee Kwa Ajili ya Kuwaaga Mashabiki Wake Siku ya Ijumaa.

Na: Abubakar Khatib Kisandu, Mlinzi mpya wa Yanga Abdallah Haji Shaibu "Ninja" amezawadiwa vifaa vya soka na Mohammed Ibrahim “Raza Lee” ambae ni mdau wake mkubwa.Vifaa hivyo vikiwemo Viatu vya kucheza soka pamoja na jezi full ambavyo amepewa mchana wa leo katika Duka la Raza Lee ambapo linauza Vifaa vya Michezo liliopo Darajani Mjini Unguja.Akizungumza na Mtandao huu Raza Lee baada ya kumzawadia Ninja vifaa hivyo, amesema amefurahi sana kumuona Ninja amesajiliwa Yanga huku akisema kuwa ndie mchezaji wake namba moja anaemkubali katika soka la Tanzania.“Niliposikia Ninja kasajiliwa Yanga nilifurahi sana...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Sunday, 18 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News