NI WAPI MIKOBA YA WENGER ITABEBEKA VIZURI?

Na Haatim Abdul. Miaka nenda miaka rudi kumekuwa na danadana nyingi kuhusu hatma ya Arsene Wenger kwenye timu ya Arsenal. Pale ambapo unaamini kuwa muda wa mfaransa huyo unaweza kuwa umefika mwisho ndipo mpira utapigwa kutoka mguu mmoja kwenda mwingine.…The post NI WAPI MIKOBA YA WENGER ITABEBEKA VIZURI? appeared first on Tanzania Sports....

read more...

Share |

Published By: TanzaniaSports - Thursday, 8 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News