NI UREMBO? Mwanamke avunja rekodi ya kucha ndefu duniani

Maajabu hayawezi kuisha duniani. Pale wanawake na mabinti wengine wanapohangaika kwa miaka mingi kufuga nywele zao ili ziwe ndefu, mwanamke Ayanna Williams wa Houston Texax, Marekani ameingia kwenye rekodi ya dunia ya mtu mwenye kucha ndefu zaidi za mikononi. Ayanna ameeleza kuwa amezifuga kucha zake hizo kwa miaka 24 ambazo zinaripotiwa kuwa na urefu wa sentimita 576.4 […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Wednesday, 13 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News