NI KWELI BADO TUNAMHITAJI JAMAL MALINZI?

Na Oscar Oscar RAIS wa Shirikisho la Soka nchini Tanzania angekuwa anapatikana kama anavyopatikana rais wa nchi, mambo yengekuwa mazuri sana. Mashabiki wa mchezo huo pendwa duniani wangepata fursa ya kumchagua mtu wanayemtaka. Wangepata fursa ya kuwasikiliza na kuwahoji wagombea kila mtu kwa nafasi yake. Mpira ni mchezo ambao wafuasi wake wengi ni masikini ambao kiuhalisia ndio walio wengi kwenye nchi kama Tanzania. Ndiyo mahali pekee wanapoweza kupoza machungu ya mihangaiko yao ya kutwa nzima. Ndiyo starehe ambayo haiwagharimu kiasi kikubwa cha fedha. Kwa bahati mbaya sana hili viongozi huwa...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Monday, 19 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News