Ngome ya Vijana ACT Wazalendo baada ya Zitto kuitwa akahojiwe Bungeni

September 12, 2017 Spika wa Bunge Job Ndugai aliagiza Wabunge wawili Zitto Kabwe wa Kigoma Mjini na Saed Kubenea wa Ubungo wafike mbele ya Kamati mbizi za Bunge kuhojiwa wakidaiwa kukiuka sheria dhidi ya Bunge na Spika. Baada ya agizo hilo la Spika, Ngome ya Vijana ya ACT-Wazalendo imelipokea kwa namna yake jambo hilo na kuamua […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Wednesday, 13 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News