NEC YAONYA VYAMA VYA SIASA

Na NORA DAMIAN-DAR ES SALAAM TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imevionya vyama vya siasa kutogeuza kampeni za uchaguzi mdogo na kuwa mikutano ya vyama vya siasa. Hivi sasa vyama mbalimbali vinaendelea na kampeni za uchaguzi mdogo wa madiwani katika kata 43, ambao unatarajiwa kufanyika Novemba 26. Akizungumza jana wakati wa mkutano na viongozi wa vyama vya siasa, Mwenyekiti wa NEC, Jaji Semistocles Kaijage, alisema vyama vinatakiwa kufanya kampeni kwa kuzingatia maadili na taratibu zilizoainishwa kwenye uchaguzi. “Kwa kuzingatia kifungu cha 53 cha Sheria ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa,...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 7 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News