Ndugai uso kwa uso na Lissu, kupelekwa Ulaya J’mosi

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, anatarajiwa kufika mjini Nairobi leo au kesho Alhamisi kumtembelea mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu. Anaripoti Mwandishi Wetu kutoka Nairobi….(endelea). Taarifa kutoka Bunge la Tanzania na familia ya Lissu jijini Dar es Salaam na mkoani Singida zinathibitisha kuwa Ndugai atakwenda Nairobi kumjulia hali Lissu na kupata taarifa ya ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Wednesday, 3 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News