Ndugai ajipapatua kuhusu Tundu Lissu

KAULI ya Spika wa Bunge, Job Ndugai kwamba utaratibu wa kukidhi gharama za matibabu ya mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu unaendelea kushughulikiwa, ni ya kukiri kile anachokisema mbunge mwenyewe kuwa “Serikali haijalipa hata shilingi moja kugharamia matibabu yangu.” Anaandika Jabir Idrissa … (endelea). Aidha, kauli hiyo ambayo Spika Ndugai ameitoa kupitia mahojiano maalum na ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Tuesday, 2 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News