Ndemla Kuondoka Simba Sc

Tatizo siyo fedha, kwani Mohammed Dewji ‘Mo’ anaweza kuzitoa isipokuwa masharti magumu aliyoipa Simba ndiyo sababu ya kiungo mkabaji wa timu hiyo, Said Ndemla asuesue kusaini mkataba mpya wa kuendela kubaki kikosini humo. Simba na kiungo huyo hivi karibuni wameshindwa kufikia makubaliano ya kusaini mkataba wa miaka miwili utakaomuwezesha kuendelea kuichezea Simba. Awali, ilielezwa kuwa dau kubwa la usajili ambalo linalofikia shilingi milioni 70 alilolitaja ili aongeze mkataba wa kuichezea Simba kwenye msimu ujao wa Ligi Kuu Bara lilikuwa tatizo. Kwa mujibu wa chanzo kuwa, meneja wa mchezaji ambaye aliwahi...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - Saturday, 16 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News