Ndala ya Diamond Platnumz yakatika mahakamani

Waswahili  wanamsemo wao usemao ajali kazini. Hivyo ndivyo ilivyotokea kwa Msanii wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul maarufu Diamond ambaye amewasili katika viunga vya Mahakama ya Hakimu Kisutu lakini amekutana na balaa baada ya kiatu alichovaa kukatika....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Thursday, 8 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News