Naibu Waziri wa Kilimo alivyoshiriki ujenzi wa vyumba vya madarasa Mbeya

Leo January 3, 2018 Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Dr. Mary Mwanjelwa amezungumza na wananchi na mafundi wanaojenga majengo ya Shule ya Sekondari Iyera iliyopo mkoani Mbeya ili kutatua changamoto ya vyumba vya madarasa kwa ajili ya kuhimili wingi wa wanafunzi wanaotarajiwa kujiunga na kidato cha kwanza. Dr.Mwanjelwa amesema “tangu serikali ya awamu ya […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Wednesday, 3 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News