NAIBU WAZIRI MAVUNDE AENDELEA KUWABANA WAAJIRI WANAOKIUKA SHERIA ZA NCHI

  NA K-VIS BLOG/Khalfan Said, MkurangaNAIBU Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshughulikia Kazi, Vijana na Ajira, Mhe. Antony Mavunde, ameendelea kuwabana waajiri wanaokiuka sheria za nchi ambapo leo Machi 8, 2018 amehamia wilayani Mkuranga Mkoa wa Pwani na kuvitoza faini ya jumla ya shilingi milioni 32, viwanda vitatu kwa  ukiukwaji mkubwa wa Sheria ya Kazi na Uhusiano Mahala pa Kazi.Viwanda vilivyoadhibiwa ni pamoja na kiwanda cha kutengeenza yeboyebo cha Dorin Investment Company Limited, (milioni 14), LM Furniture, (milioni 7), na Tingtang, (milioni 14), adhabu hizo zimetangazwa leo Machi 8, 2018...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Thursday, 8 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News